Usiogope Udogo wa Size yako

Wanaume wengi na wanawake wengi huhofia sana size ya baadhi ya viungo vinavyohusika na uzazi.
Wanaume wako concerned na size ya Mashine linapokuja suala la mapenzi, wakati wanawake wao wako concerned na size ya maziwa na uwezo wa K kuhimili Mashine ndefu, kwa bahati mbaya ujinga wa aina hii huzalisha hofu, mashaka na woga ambao hupelekea kutojiamini linapokuja suala la mapenzi.
  
  


Ukweli ni kwamba haijalishi mwanaume ni mrefu au ni mfupi au ni mnene kiasi gani urefu wa Mashine zaidi ya inches 6, na kiasi cha inches 3 tu za urefu wa Mashine wowote huweza au zinatosha kabisa kumfurahisha mwanamke kimapenzi na akaridhika.
(hapa muhimu ni ujanja jinsi ya kutumia fimbo yako na si urefu wa fimbo).

Pia haijalishi mwanamke ni mrefu kiasi gani au ni mfupi kiasi au ni mnene kiasi gani wanawake wote huwa na uke ambao hauwezi kuwa mpana zaidi au pungufu ya inches 1.


Utafiti unaonesha kwamba mwanaume mrefu sana akioana na mwanamke mfupi sana wanaweza kufurahia mapenzi  sawa na wale ambao mwanaume na mwanamke wana urefu sawa. 
Tofauti ya urefu wa kimo kati ya mwanamke na mwanaume huweza kuleta shida au matatizo wakati wa kupeana mabusi wakati mkiwa mnang'onoana.


Pia suala la mwanamke kuwa na maziwa makubwa sana au madogo sana huwa na usumbufu wa aina yake kwa wanawake hasa wale ambao hawajaolewa.


Hata hivyo jambo la msingi ni kujiamini kwamba na kufahamu kwamba kuwa na maziwa makubwa sana au kidogo sana maana yake huna tatizo na unaweza kuvutia na kuwa  sawa na wengine tatizo ni kujiamini kwako.

No comments:

Powered by Blogger.