sms nzuri za mapenzi soma mtumie na umpendae



mpenzi usiende mbali nami,njoo ufaidi utamu usioisha
hamu,nitakupa mwili wangu ukeshe nao,nitakulisha
unachokitaka,sitakubania naogopa wengine wataniibia. .
.njo leo uniambie unataka nini?
yapitayo mdomon yametokea moyon,uyaonayo hadharani
nimeagizwa na manani yakuridhishayo nafsini ni utamu wa
yakini.
Image result for sms za kubembeleza

Mwanamke ni yule amfanyaye mwanamme auhisi uanaume wake,
wewe ni mwanamke mwenye sifa hizo.
ningependa nikuambie neno ambalo halina gharama na
liku2miwa vbaya halna maana wala thaman. neno hlo
haliandikiki kwenye karatasi wala hata halitamkiki ila 2
Linatokea Bila Kujua Na Halina 7bb.neno Hlo Mi Mwenyewe
Silijui Ila Ndo Lina2fanya 2we Pamoja Japo 2po Kas Na Kus.
Nakupenda Xana Dia

No comments:

Powered by Blogger.