Wanawake wamekuwa ombaomba
Nadiliki kusema wanawake wa sasa wamekua omba omba na wanako elekea itabidi waanze tuu kukaa barabarani ili waendelee na biashara yao ya kuomba omba manana itakua inawalipa..
Kila mwanamke ninae mpata anakua na tabia za kuomba omba pesa, yaani anahamisha majukumu yake yote ananihamishia mimi
Anaomba pesa ya kula, mavazi, starehe Zote nampa sasa kaamua afike mbali zaidi eti anaomba nimsaidie ujenzi wa nyumbani kwao mkoani.. Maana Hakuna muonekano mzuri
Namuuliza kwanini nifanye ujenzi nyumbani kwenu nyinyi ? Ananiambia mbona mimi nakupa starehe za papuchi yangu kila unapo nihitaji
Ooooh kumbe papuchi yako ndio sababu basi nenda ukawape mafundi hiyo papuchi yako wakusaidie ujezi..
NIMEAMUA KULIACHA KABISA MAANA SIKO TAYARI KUFANYA UPUUZI WA KUSAIDIA UJENZI NYUMBANI KWAO MWANAMKE WANGU
Nadiliki Kusema wanawake wa sasa akili zao hazina tofauti na akili za mbwea
Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome
from Tujifunze Mapenzi https://ift.tt/2RKqyFd
via
No comments: