LOVE: ULISHA WAHI KUMTUMIA MKE WAKO UJUMBE WA MAPENZI TOKA UMUWEKE NDANI? HEBU JARIBU LEO



Habari mpenzi msomaji wa Mtilah blog, ni jioni nyingine tena tulivu. ni jambo la kawaida kwa wapenzi wasio ndani ya ndoa kutumiana jumbe mbali mbali za mapenzilakini mara nyingi utaratibu huu huishia tuu siku ya ndoa...........! leo nimekuwekea baadhiyi ya maneno ambayo unaweza kumtumia mpenzi wako( mke wako au mume wako) angalau akumbuke mlipo tokea hili linaweza kuongeza mapenzi baina yenu au kurudisha mapenzi yaliokufa kabisa. hapa nimekuwekea jumbe chache sana kama mfano lakini wewe mwenyewe pia unaweza kua mbunifu katika jambo hilih muhimu sana. endelea kutembelea mtilah blog kwa jumbe nyingi zaidi..........!

Kuna miezi 12 katika mwaka…siku 30 katika mwezi…siku 7 katika wiki, masaa 24 katika siku…dakika 60 katika saa……lakini wewe ni mmoja tu maishani mwangu.
*****
I will walk with you side by side for only one condition: hide your wings every time we walk together because the whole world might know that you're my angel!
****
Bongo zenye fikra kali huwa na mawazo, suluhu na sababu; ubongo wa kisayansi huwa na kanuni, nadharia na takwimu; wangu una wewe tu!
****
Do you take me to be your lawfully wedded text mate, in sickness or in health, through metering or not, till low bat do us part?
****
Each of us is an angel with one wing. The only way we could fly is to hold each other and share wings. So if you have trouble flying, I will always share mine with yours.
****
Umewekwa usiku ili tuweze tuukubali mchana, huzuni ili tuikubali furaha, ubaya ili tuukubali uzuri, wewe ili niyakunali mapenzi.
I don't want to say I miss you, though deep inside I do, coz I'm afraid you might see thru and know how much fear I have of losing someone like you.
****
Mapenzi ni nini? Wale wasiopenda huita majukumu, wale wanaoyachezea huita mchezo, wale wasiokuwa nayo huita ndoto, na wale wanaoelewa huyaita mwisho wa safari, na mimi, mwisho wangu ni wewe.

karibu kama una ushauri au maoni andika hapo chini na mimi nitasoma ujumbe wako!



No comments:

Powered by Blogger.