ujumbe kwa mario wote- wafikishieni plz
Shout out Kwa wanaume wooote wanaopenda mtelezo na
mlainiko wa maisha yaani hamuoni hata noma kusema ”
nipe alfu kumi hapo mpenzi kuna ishu”
Sio Mara Moja wala mbili yaani ndio maisha yenu.
Mnasomeshewa wanenu,mnalishwa Na mnaendesha
Magari ya walimbwende wenu.
Mnakaziwa warembo wenu but mnakauka Kama hamuoni
wkt mnajua Sana. Maana mtafanyaje Na nyie ganda la
ndizi mnalipenda.
Mmetisha aisee!
No comments: