πŸ‘‰ Wachaga wana mambo mbele ya hela, angalia hii bili ilivyomchanganya MASSAWE✔πŸ˜πŸ˜‚

Related image

MASSAWE alienda na marafiki zake bar kunywa, baada ya kumaliza kutumia akaletewa bili kama ifuatavyo:
Manka 35,000
Marieta 20,000
Kekuu 30,000
Kitime 15,000
Kinabo 10,000
TOTAL 110,000/=
MASSAWE akaicheki akasema "Wote nitawalipia lakini huyo "TOTAL" Yesuu simlipii.
Kwansa anamiliki sheli kibao sa mafuta hapa bongo. Shensi taip ! Na amekunywa nyingi kuliko wote alipe mwenyewe…

πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare kichekesho hiki.πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wachekeπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ’―✔



No comments:

Powered by Blogger.