DOKEZO KWA WANAMKE, EPUKENI HAYA MAMBO 10

Heshima kwenu wakubwa na wadogo, hizi hapa ni dokezo kumi kwa wanawake waliondani ya ndoa na ambao bado hawajaolewa ila wako mbioni, mnisamehe kama nitatumia lugha kakasi kidogo katika kufikisha ujumbe na tafadhani soma kwa makini kisha bofya kidude (like) pia ruksa ku uliza ama any comment:
. *_HAWAWALINGANISHI WAUME ZAO NA WANAUME WENGINE_*
```Wanawake wenye ukomavu wanajua kwamba kila ndoa inatakiwa kuwa na upekee na wanajua kwamba ulinganisho husababisha mashindano yasiyokuwa na ulazima wowote; hivyo hawawalinganishi waume zao na wanaume wengine, na hawaulinganishi uhusiano wao na uhusiano mwingine.```
. *_HAWARUHUSU MARAFIKI KUHARIBU NDOA YAO_*
```Sote tunajua kwamba marafiki ni watu muhimu katika maisha yetu, lakini wakati mwingine wanaweza kuvuka mipaka yao ukiwaruhusu na kukupa ushauri wenye madhara bila wewe kujua. Wanawake wenye ukomavu hawaruhusu marafiki kuingilia ndoa yao.```
. *_SIO VING’ANG’ANIZI_*
```Wanawake wenye ukomavu huwapenda waume zao na kuthamini uhusiano wao, lakini wanajua ni wakati gani wa kumpa mume muda wa kuwa peke yake; wanajua kwamba kumnganda sana mume wakati fulani inaweza kuwa na athari mbaya – hivyo, wakati fulani humpa mume fursa ya kufurahi na marafiki zake.```
. *_HAWAZIDISHI MAMBO KUPITA KIASI_*
```Wanawake wenye ukomavu wanajua kushughulikia hali yoyote inapojitokeza; hawarefushi ugomvi na mizozo, hawajaribu kutumia vibaya fursa ya migogoro – bali hufanya juhudi za kurekebisha mambo na kuyafanya kuwa bora zaidi baada ya mgogoro.```
. *_SIO WATU WA KUTAKA VISASI_*
```Wanawake wengi huharibu ndoa na uhusiano wao kwa kushikilia hisia za visasi, chuki na kujaribu kuwaumiza waume zao. Wanawake wenye ukomavu wanajua kwamba hayo hayana faida wala manufaa chanya bali huifanya ndoa/uhusiano kuwa na maumivu zaidi.```
. *_HAWAPENDI KUDHIBITI KILA KITU_*
```Baadhi ya wanawake hufanya kazi ya kuudhibiti uhusiano wao, lakini mwanamke mwenye ukomavu anajua kwamba hilo lina madhara; hivyo badala yake anafurahia uhusiano wake na kufanya juhudi ya kuwa mwenza bora.```
. *_HAWAPITILIZI KATIKA MATUMIZI YA MITANDAO YA KIJAMII_*
```Baadhi ya wanawake huwa wanazidisha mno kubandika katika mitandao ya kijamii kila kinachohusu ndoa na uhusiano wao, lakini huu ni utoto na si ukomavu. Hilo linaweza kuwa na madhara makubwa dhidi ya uhusiano wako.```
. *_KUWA MWEPESI WA KUSAMEHE_*
```Wanawake wenye ukomavu wanaelewa umuhimu wa kusamehe; wanaelewa kwamba msamaha ni nyenzo ya kuhakikisha amani na maelewano vinatawala.```
. *_HAWAENDELEZI CHUKI_*
```Wanawake wenye ukomavu hawaendekezi ugomvi na chuki; huwasamehe kwa haraka wenzao na kusonga mbele, lakini wanawake wasiokuwa na ukomavu huweka nguvu kwenye kuendeleza mambo hasi.```
. *_KUTOKUWA NA HISIA. NZURI_*
```Sio jambo zuri kutokuwa na hisia na mwenzako na kuwa baridi; hilo linaweza kutengeneza mgawanyiko kati yenu na kuumiza uhusiano wenu. Wanawake wenye ukomavu hawafanyi hivyo.``
Maswali, Comments na likes zinakaribishwa...
Wenu katika ujenzi wa ndoa...

Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome
Install Application ya Raha Ya Mapenzi Uweze Pata Habari Kama Hizi Kirahisi Zaidi
No comments: