Kumpenda mtu asiyekupenda inatesa sana!
Kutoka kwa Mdau
Yaani haya mapenzi ni ya ajabu sana, kuna mtu nampenda sana ..kwakuwa anajua nampenda basi ndiyo ananinyanyasa kweli..
Nimekuwa mtu wa kulia tu...
Jana nimemkuta na msichana mwngine tena nahisi atakuwa bado mwanafunzi nikajifanya sijaona nikageuza haraka na kurudi home, nikijua atarudi home tuyaongee lkn mpaka hivi ninavyoandika hajarudi tangu tuonane ile Jana.
Nikipiga simu haipokelewi..nateseka sana jamani....msaada please ila mapenzi yanaumiza sana
Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome
🔞Wakubwa tu: Pata mautamu ya chumbani live bila chenga
TAHADHARI WAKUBWA PEKEE NDIO WANARUHUSIWA KUBONYEZA HII LINK WATOTO KAA PEMBENI
No comments: