Watoto hawa wataweza kujua kufanya tendo la ndoa?
Nafikiria kidogo, na wewe jaribu kufikira,
hivi,ikitokea watu wakafanya utafiti huu,wakawachukua watoto wawili yaani wa kiume na wa kike au watoto kadhaa wa kiume na watoto kadhaa wa kike,kuanzia miaka miwili tufanye wakawaweka katika jumba kubwa zuri lenye kila aina ya huduma kwa watoto na watu wazima,
Wakawa wanawalaza kitanda kimoja watoto wawili wa kiume na wa kike,hadi kufikia umri wa miaka 21 bila kupata elimu yeyote ya mapenzi ama ngono,bila kuona sinema za mapenzi,kusoma vitabu vya mapenzi,kusikia hadithi za mapenzi,wala mafundisho ya mapenzi,
Je,watoto hao wakifikisha umri wa miaka ya kubalehe ama kuvunja ungo wataweza kujua chochote kuhusu mapenzi kama kujamiiana,kukiss au aina yeyeote ya mapenzi,wtaweza kujua kua hiki ni kiungo cha uzazi kuna raha kuvihusisha viungo vya uzazi kwa ajili ya kupata raha?
najaribu tu kufikiri,ni nini kitatokea ?
Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome
🔞Wakubwa tu: Pata mautamu ya chumbani live bila chenga
TAHADHARI WAKUBWA PEKEE NDIO WANARUHUSIWA KUBONYEZA HII LINK WATOTO KAA PEMBENI
No comments: