Amri kumi za kukumbukwa kwa mabinti wote single duniani
1. Usiharakishe kutoka nyumbani kwa wazazi wako kwa gia ya kwenda kuolewa.2. Usimsubiri mwanaume mpaka aje ndio uanze kuishi. Unaweza kuishi maisha timilifu hata ukiwa huna mwanaume.3.Achana na pombe zimewauwa wenzako wengi kwa kisingizio cha kuondoa stress na wewe unaweza kufa pia.4. Usiwe mtu wa kuendekeza kuzipokea na kuzijibu namba ngeni za simu hasa nyakati za usiku.. sio njia sahihi ya kupatia mpenzi.5. Tengeneza mazingira ya kuilinda afya. Jitahidi kunywa chai asubuhi maji mengi na acha kula vitu vitamu6. Vaa vizuri na kiheshima. Watu watavutiwa na wewe ulivyo kabla ya kuongea nawe7.Usitumie sex kama ndio mzani wa mapenzi.Unaweza ukaachika tuu pamoja na penzi lako taamu.8. Usiolewe na mtu kwa sababu ya fedha; Utabakia kuwa mtumwa wake9. Jiongezee ubora wako, Tafuta kazi.Usiwe mpuuzi ukaamini mwanaume atatatua matatizo yako yote.10. Jiheshimu sana kwa kuangalia namna ya uvaaji wa mavazi yako na mwonekano wako mbele ya jamii…. Usitegemee kuvaa kimini ukutane na mwanaume wa suti… wewe utampata wa milegezo na kubana pua tu.
Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome
🔞Wakubwa tu: video kali zote na original app download chini
TAHADHARI WAKUBWA PEKEE NDIO WANARUHUSIWA KUBONYEZA HII LINK WATOTO KAA PEMBENI
No comments: