Watafiti wabaini faida hii ya ajabu kwa wanaume wanaoshiriki tendo la ndoa mara nyingi


Image result for sasha tz

Kwa mfano huu – jamaa eti wamebaini kuwa kushiriki tendo la ndoa mara nyingi kunaongeza imani ya kiroho na hata imani kwa Mungu! Makubwa..
Kwa mujibu wa utafiti, tendo la ndoa hutoa homoni ya upendo iitwayo oxytocin ambayo haiishi tu kutengeneza ukaribu wa kijamii bali pia imani ya Mungu – hususan kwa wanaume.
Watafiti katika chuo kikuu cha Duke cha North Carolina, wanasema kuwa tendo hilo huhamasisha imani – ama kuongeza imani katika Mungu na dini.


Utafiti huo umeliochapishwa mwishoni mwa wiki unaangalia homoni ya oxytocin ambayo huamshwa zaidi wakati wa kufanya mapenzi, wakati wa kuzaa na wakati wa kunyonyesha.


Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome

 

  🔞Wakubwa tu: video kali zote na original app download chini
TAHADHARI WAKUBWA PEKEE NDIO WANARUHUSIWA KUBONYEZA HII LINK WATOTO KAA PEMBENI



No comments:

Powered by Blogger.