Jinsi ya kufanya mwanamke wako akuheshimu

Image result for JINSI KUMUHUDUMIA MKE WAKO

Kama waida yangu nipo hapa kujifunza na kupeana maarifa,Leo nimeona niongelee udhoefu wangu juu ya kuishi na mwanamke ili akuheshimu,swala la kwanza kabisa ukitaka mwanamke akuheshimu kwanza jiheshimu mwenyewe,unapoanza mahusiano na mwanamke siku zote mwanzo wa mahusiano yenu mwanamke lazima akujaribu.

Kwa namna yoyote iliakuchunguze udhaifu wako,anaweza akakukosea maksudi ili akupime utafanya nni,kwa mfano unaweza ukampigia simu siku nzima asipokee simu yako halafu kesho yake ukampigia akapokea simu na ukimuuliza kwa nni jana yake hakupokea simu akakujibu "alikuwa busy", ikitokea hali kama hiyo ujue hiyo ni "shit test"hapo mwanamke anakujaribu " are you a real man".

Kama ukionyesha haujafurahishwa na jibu lake na umekasirika atajua wwe ni"mwanaume kweli",lakini ukilichukulia jibu lake kawaida2 atajua wwe ni zoba"fake man",siku zote mwanamke mwanzoni wa mahusiano atakupa "shit test"nyingi sana,lakini kumbuka usemi huu" kill the monster while still little " siku zote ukiishi na mwanamke "don't torelate shit"mwanamke akikukosea kosa mwambie hapohapo.

Ili ajirekebishe usivumilie makosa akikufanyia cause sometimes mwanamke ni kama mtoto usipomuonya anaweza akarudia kosa like lile kwa madai kwamba alikuwa hajui kama ni kosa coz before hukumwambia,jambo jingine mwanaume ukiishi na mwanamke kumbuka mpenzi wako ni rafiki yako lakini kumbuka wwe ni rafiki yake na pia ni kiongozi wake" your a leader she is follower".

Wanawaume wengi huwa wanakosea wanawafanya wapenzi wao kuwa marafiki zaotu nafasi zao za kuwaongoza huwa wanazisahau,kuna baadhi ya wanaume ukimkuta anaongea na mpenzi wake wamezoena mpaka tabia zimefanana kama mwanamke ni mbeya utakuta na mwanaume naye anaanza kuwa mbeya kwa stahili hiyo mwanamke lazima utachapiwa na atakuwa anakudharau,be a man play your part as leader mfanye mpenzi wako awe rafiki kwa mda tu sio mda wote.

No comments:

Powered by Blogger.