USILETE UTANI KATIKA MAPENZ

Image result for mwanamke malaya


Mdada mmoja alitaka kujua kiasi gani anapendwa_
na mume wake, hivyo akataka kujua mumewe_atafanya nini endapo ataamua kuondoka na_
kumuacha!
Mwanamke huyo akaamua kuandika barua_
inayosema *"Samahani mume wangu nimeamua
kuondoka na kwenda kuanza maisha mapya mbali na wewe"*Barua hiyo akaiweka juu ya meza iliyokuwa
chumbani.

Baadaye jioni, muda wa Mumewe kurudi
mwanamke huyo akajificha chini ya uvunguniwa
wakitanda mule chumbani Mume alipoingia_
chumbani akakuta ile barua juu ya meza, akaisoma
kisha, akaandika maneno fulani kwenye ile ile barua,
halafu akaanza kuimbaimba kwa furaha huk
akipiga milunzi na akiwa anavua nguo.Akapiga_ _simu
na akasikika akisema hivi_ 

hello mpenzi, nina raha
sana leo.. yule mwanamke nuksi ameondoka mwenyewe bila kumfukuza
nakutuachia uwanja, jiand
nakuja Muda huo huo Mume akaondoka.
Mwanamke alipokuwa uvunguni akawa analia na kutokwa na machozi akaamua kutoka
lakini amenyong'onyea na amelowa mashavu kwa

machozi
Akasogea pale ilipo barua na akataka kujua
mumewe aliandika kitu gani kwenye ile barua.
Akakuta maneno haya nimekuona miguu yako
uvunguni tafadhali andaa chakula nina njaa sana
mumeo, ila nimetoka kidogo nafuata mazi
nilisahau kupitia. Nakupenda mke wangu.
Hivi nani kampata mwenzakee_
Km umeipenda plz share na mwenzako ujumbe aupate_

3 comments:

Powered by Blogger.