Mapenzi pesa au ufundi?
Habari BASSA MUSSA...Jana nimetumiwa wimbo wa diamond na Ney wa mitego wakibishana kuwa mapenzi ni ufundi na mwingine anasema pesa. Nikaamua kumtafuta swahiba wangu kumuuliza na kilichotokea ni kuwa na sisi tukawa tumepishana mtazamo. Sasa nalileta kwenu tulizungumze.
Kwa upande wangu naona mapenzi ni ufundi. Kuna huu msemo "Ukiona dada kaolewa, jua dada kanogewa". Na mwanamke akifuata pesa katika mahusiano ni rahisi sana kucheat kuliko aliyekubali kuwa na maskini lakini ni fundi katika ulingo. Vipi wewe?

No comments: