Nina tatizo la kuwa na Uume legelege

Image result for UUME MDOGO

Habari BASSA MUSSA

Mimi ni kijana ambaye nimeowa lakini Kwa kipindi cha miezi miwili sasa nimepatwa na tatizo la uume wangu kuwa dhaifu yaani hausimami vizuri kama kipindi cha nyuma. Inafika Kipindi hata kufanya mapenzi nashindwa kabisa

Na kinachoniumiza zaidi ni kuwa na mke ndani na nimejitahidi kumficha tatizo nililonalo lakini sasa nimeshindwa

Naombeni ushauri.

No comments:

Powered by Blogger.