UTOFAUTI KATI YA MWANAMKE NA MWANAUME

Image result for utamu wa chumba cha shemeji sehemu ya 2

1. Kwenye mshituko;
Mwanaume hushituka halafu huangalia nini kimemshitua, mwanamke hushituka halafu huzimia hivyo ataambiwa na mwanaume kilichomshitua

2. Kwenye kupenda
Mwanaume huanza kutamani alafu hupenda, mwanamke huanza kupenda moja kwa moja bila kumjua vizuri huyo ampendae

`3.Kwenye kusaidia
Mwanaume hutoa msaada alafu uhuzunika, mwanamke huuzunika badae ndo anakumbuka km msaada unahitajika 

``4.Kwenye maamuzi;
Mwanaume hufikiri ndipo hutenda, mwanamke hutenda halafu hufikiri
`5.Kwenye kudanganya

6.Kwenye ugomvi
Wanaume hupigana halafu hueshimiana, wanawake hupiga mikelele alafu kila mmoja hurud kwake, ```kesho tena`

7.Kwenye ndoa
Mwanaume hutafuta maixha ndipo huoa, mwanamke huolewa ndipo atafute maisha
`8.Kwenye kukata tamaa;

Mwanaume hukata tamaa mapema ili jambo lisimsumbue, mwanamke hajui kukata tamaa hadi aumizwe
`9.Kwenye kula
Mwanaume hushiba alafu huanza madoido, mwanamke huanza na madoido alafu badae hujilaumu

 10.Kwenye siri;
Mwanaume hutunza siri hasa za aibu, mwanamke humueleza shoga yake badae hugombana nae baada ya kumrudia mwenyewe kwa siku 2 tu
*Hizi ni baadhi tu ya sifa tofauti kati ya mwanaume na mwanamke, ila zipo 

No comments:

Powered by Blogger.