Wanaume na kukataa mimba zao



Image result for KWANINI MWANAUME KUKATAA MIMBA

Nawasalimia,

Kuna hii tabia ya wanaume ambao bado hawajaoa unakuta ana mpenzi wake au ile ya unatongoza tu wasichana kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya uanaume yaani kukidhi hitaji la gegedeo lake unakuta anagegeda mwanamke bila ndom. 

Akija kuambiwa nina mimba yako asilimia kubwa ya wanaume hawa huwa hawakubali moja kwa moja, lazima atabisha sana na baadhi yao hukubali baadae ila wengine huendelea kukataa.

Najiuliza, ni wanaume tunakuwa na uoga wa majukumu, tunakuwa tumetegwa hivyo tunakataa kwa mfano unaweza ukabambikizwa mzigo wa mwingine kutokana na kutowaamini wanawake siku hizi au tulikuwa tuko katika raha tu sasa ghafla tunapewa sapraiz? 

Je wadhani sababu hasa ni nini? Kama una sababu zingine tupia.

Wanaume, sababu ni nini? Na wanawake mnafikiri ni kwanini wanaume hukataa?

No comments:

Powered by Blogger.