Kistaarabu na kiafya bao mwisho ngapi?
Wadau hivi katika kuduu unashauriwa bao mwisho ngapi? Maana kuna mwanamke jana amening'ang'ania bao tatu bado akawa anataka tena, Mimi miguu ikaanza kutetemeka ikabidi nipige la nne.
Mwisho nikawa hoi,usingizi hapo hapo,hata sikujua ametoka muda gani.
je kiafya na kistarabu ni bao ngapi zinatakiwa?
Mwisho nikawa hoi,usingizi hapo hapo,hata sikujua ametoka muda gani.
je kiafya na kistarabu ni bao ngapi zinatakiwa?
No comments: