Habari zenu jamani mimi naitwa marry naishi Tanga Mimi naomba kuuliza wakati nikiwa kwenye tendo zima la kujamiiana nashangaa kuona maji mengi kiasi kwamba naweza hata kuyakamua baada ya tendo kila ninapojaribu kumwweleza mwenzangu ni kitu gani ananiambia hajui.naomba ushauri ni ugonjwa aunikitugani pia raha yalile tendo
Kutoa maji mengi wakati wa kujamiiana
Reviewed by
Bassa
on
6:33 AM
Rating:
5
No comments: