Mimi naomba kuuliza wakati nikiwa kwenye tendo zima la kujamiiana nashangaa kuona maji mengi kiasi kwamba naweza hata kuyakamua baada ya tendo kila ninapojaribu kumwweleza mwenzangu ni kitu gani ananiambia hajui.naomba ushauri ni ugonjwa aunikitugani pia yananinyima raha yalile
Kutoa maji mengi wakati wa kujamiiana
Reviewed by
Bassa
on
11:57 PM
Rating:
5
No comments: