sijawahi kuzidisha bao moja

Image result for jinsi ya kuunganisha bao kutombana

Jamani, samahanini, nisaidieni hapa, kwanza nashukuru registration yangu inafanya kazi, na humu ndani ni mgeni, ila naona pazuri sana. na mimi ngoja niweke tatizo langu hapa ili tusaidiane kulitatua.

mimi jamani nimeoa, lakini toka nianze kujihusisha na mapenzi hata kabla sijaoa, sijawahi kupata bao la pili, bao la kwanza lenyewe huwa linachukua karibia dakika 50. nikianza kufanya mapenzi hadi mke wangu anasema amechoka na mimi nakaza misuli na kukojoa, lakini nikishakojoa tu, ndo sipati lingine hadi kesho au keshokutwa. hivi ni kawaida? na kwenda hadi dakika 50 ni kawaida? huwa natamani niende walau bao la pili lakini mwanamke huwa anakuwa ameshamaliza hamu kabisa, na mimi nikikojoa tu, yaani sina hamu nyingine. nifanyeje? kuna dawa? kama zipo, zinauzwa wapi? 

Kuna rafiki yangu alinieleza niende kununua viagra, lakini sijui zinauzwa wapi, na zinaongeza nini? kwani viagra inaongezanini? inaongeza mbegu au inaongeza hamu tu. ukitumia itazidi kubaki vilevile kuwa na hamu au itabidi uwe unatumia kila mara ukitaka kufanya hivyo? kwa wale waliowai kutumia naombeni mnipe ushauri na ni wapi zinauzwa. pia kama kuna mtu mwenye ushauri mwingine au uzoefu na tatizo hili naomba aeleze hapa ili liwe ufumbuzi na kwa wengine ambao wamenyamaza kimya hapa wakati tatizo hili wanalo. ni mimi tu nimetitoa muhanga kuuliza hapa ila siajabu kuna wengu humu.

No comments:

Powered by Blogger.