NIMELAZIMISHWA KULAMBA SHAHAWA ZA BABA WA KAMBO

Picha inayohusiana
Mtoto wa kike mwenye umri wa miaka tisa (jina linahifadhiwa), amefanyiwa unyama wa kutisha na baba yake wa kambo kwa kunajisiwa, kulawitiwa na kulazimishwa kulamba mbegu zake za kiume.
Mtoto huyo anayeishi mkoani Pwani, imedaiwa ana hali mbaya kiafya kutokana na kudaiwa kufanyiwa kitendo hicho kwa muda wa miaka miwili.
Mwanaume anayedaiwa kufanya unyama huo amefahamika kwa jina la Adam Taliani maarufu kama `Kiredio' (37).
Inadaiwa kuwa baba huyo alikuwa akifanya kitendo hicho mbele ya mama wa mtoto huyo ambaye ni mke wake, akiwatishia kuwaua kwa panga kama watatoa siri hiyo.
Akisimulia mkasa huo, mama mdogo wa mtoto huyo Chiku Selemani alisema vitendo hivyo alianza kufanyiwa na baba yake wa kambo tangu mwaka 2011 wakati mama yake alipoanza kuishi na mwanaume huyo.
Alisema, waligundua unyama huo baada ya mtoto huyo kuanza kusema kwa majirani zao jinsi baba yake anavyomfanyia vitendo hivyo usiku huku mama yake akishuhudia.
"Hapo mwanzo tulikuwa tunasikia kwa majirani kuwa mtoto wetu anasimulia mambo mazito, hata hivyo hatukumuamini sana," alisema Chiku.
Chiku alisema kitu ambacho kinamsikitisha kuona dada yake ambaye ndiye mama mzazi wa mtoto huyo alikuwa akishuhudia jambo hilo na wakati mwingine walikuwa wakiingiliwa kwa zamu yeye na mtoto wake.0672287991

No comments:

Powered by Blogger.