SIMULIZI DERA



Simulizi ya: DERA
Mwandishi: BASSA MUSSA
Sehemu ya 2Tokeo la picha la KANGA MOKO
Ilipoishia...
Haukupita muda Mwanamvua alirudi akiwa kavaa dera lake la rangi ya buluu ilichanganyana na wekundu. "Shoga anarudi huyo mjaalana" Rukia alimuhabarisha Mwanshamba.
Sasa endelea...
"Heeheee! raha ya dera uwe na umbo sio kulivingirisha kama umepigwa bapa" yalikuwa maneno ya Mwanshamba yakimshambulia Mwanamvua. "Kama wajua kuvaa na kufuatilia watu si ungetengeneza yako mbwa wewe unafikiri unaogopewa hapa mtaani enhe" "Funga bakuli lako kabla sijakutia nguvuni ni kutupilie mbali na mwili wako uliyochongoka kama mparatanyani" "Unasemaje" "Ulivyosikia" alijibu Mwanshamba.
Uhasimu wa Mwanshamba na Mwanamvua hakujulikana sababu nini kila wakikutana huanza kutupiana madongo na kuchambana. "Hee bibiye ya nini ugombane na ushindane na maiti anayesubiri kifo, ukimgusa tu apepesa kama nyiti" Rukia aliingila kati ugomvi huku naye akioneshe dalili za kukerwa na Mwanamvua." Unassmaje wewe malaya wa mji" Mwanamvua alimtupia maneno Rukia. "Umeushindwa mronge sasa washindana na mbuyu" Rukia alirudisha maneno.Mwanamvua alishindwa alianza kumvaa Rukia. Mwanshamba kuoana rafikia yke kavamiwa anaamua naye kuanza kumshambulia Mwanamvua.
Hamisi deeee.... Maneno hayakumtoka Mwanamvua alianza kumkumbatia Hamisi huku dera lake akizidi kulipandisha juu zaidi."Aah! Hamisi sooo....geee..aaa" sauti nzuri ya Mwanamvua ilizidi kumpagawisha Hamisi na kumuhamisha mawazo yake yaliyoanza kulifikiria penzi la Mwanamvua. Mwanamvua alianza kumvuta Hamisi mpaka kitandani kwake jicho likizidi kumuangaza Hamisi aliyeshikwa na woga na kuanza kutojiamini chumbani humo. Mwanamvua alizidi kulisasambua dera lake na kubaki na nguo zake za ndani zilizofichwa sasa zilikuwa wazi kwa Hamisi aliyepotolewa na akili kila akitaza kaumbo kazuri alichosusiwa na Mwanamvua. "Hamisi njoo nipo kwa ajili yako ondoa hofu mimi wako" Mwanamvua alizidi kumsisitiza Hamisi asogee na asiwe na wasi na yeye.
"Usijali nakuja bibie" Hsmisi alijikaza na kuondoa wasiwasi aliyokuwa nao. Alianza kufungua vifungo vya shati lake taratibu. Mwanamvua alisogea karibu yake na kuanza kuvifungua huku macho yake yakiutazama vyema uso wa Hamisi aliyejikaza kuonesha urijali wake. "Karibu ule raha zako mpenzi" Mwanamvua alizidi kuupandisha mori na munkari wa Hamisi alijiwekea msimamo kutotembea na Mwanamvua. Mwanamvua alimaliza kumvua nguo Hamisi.
Midomo yao ilikutana na kuianza safari mahaba mazito. Mwanamvua alikuwa na mdomo uliyovutia kwa kuonyonya mithili mtoto aliyeachiwa chuchu ya maziwa akaanza kuitafuna. Hamisi akuchelewa walizikutanisha lipsi zao huku kila mmoja akiwa hajitambui hisia zimewahama hata kama kuna mtu angekuja wasingemsikia. Hamisi alizidi kumpapasa Mwanamvua aliyeishiwa nguvu sasa akiwa kama ng'ombe anayesubiri kuchinjwa. "Ooooh! Aaai! Baaaaby, kaaa....." Mwanamvua alizidi kupanda na kushuka utafikiri kulikuwa na mteremko mkali wa kilima kilichomfanya kuanza kuhema kwa shughuli ya Hamisi ya kumsaidia kukipanda kilima hicho. "Waaaa..ooh....se...ongeee........" sauti na miguno tofauti ilisikika pindi wapandapo kilima hicho. Maneno hayakumtoka vizuri Mwanamvua. Baada ya nusu saa nguvu ziliwaishia kufika kileleni mwa kilima. Walila na kuchukuliwa na usingizi mpaka asubuhi.
Asubuhi ya siku ya jumatatu ikiwa shughuli za jiji zimepamba moto wafanyakazi wakiwahi kazini na wanafunzi wakiwa kwenye harakati za kuwahi shule. Simu ya Hamisi ilianza kuita ikiwa majira ya saa moja na nusu asubuhi. Alishika na kuipokea " Halo mbona hujafika mpaka sasa kuwachukua watoto kuwapeleka." sauti ya mama Halima ilisikika kwenye simu ikilalamika kucheleweshwa watoto shule. " Samahani mama nafika sasa hivi" Hamisi alimjibu mama Halima huku akikurupuka kitandani alikolala na Mwanamvua bila kumuaga.
Mwanamvua alikua bado kalala kwa uchovu aliokuwa nao kwa kupanda kilima kwa muda mrefu. Hamisi alitoa pikipiki yake nje huku akiangaza macho yake kama kuna watu watamuoana akitoka ndani kwa Mwanamvua. Ghafla macho ya Hamisi yanakutana na mpenzi wake Mwanshamba akitoka chumbani kwa Mwanamvua.......
Nini kitatokea kati ya Hamisi, Mwanshamba na Mwanamvua.......itaendelea sehemu ya 3.
0765203999

No comments:

Powered by Blogger.