Jinsi Ya Kusexchat Na Mwanamke

Kama mwanaume hajui kuanza kumsexchat mwanamke, kwa kawaida kuna mambo mawili ambayo huweza kutokea.


Aidha hatowahi kujaribu, hivyo kukosa hatua muhimu ipasayo kutumika katika mchakato wa kutongoza mwanamke, ama atakuwa na wakati mgumu kujenga uhusiano kati yake na mwanamke wa maisha yake.

Kama unataka kujua jinsi ya kujifunza kuanza kusexchat mwanamke kwa njia ambayo itamfanya avutiwe na afurahishwe, hii hapa ndio njia ya kufuata.

Jinsi ya kusexchat na mwanamke

#1 Jenga mpangilio wa toni. Kuanza kuonyesha hisia zako za sexting bila mpangilio wowote ni hatua mbaya ya kutumia sababu utamshika mwanamke kwenye mataa. Balada yake, wakati unapoanza kutaka kusexchat lazima uje na hatua ya upole bila pupa. Weka toni ambayo itafanya chat yako ionekane imetoka naturally bila kuonekana kama imelazimishwa.

Njia nzuri ya kuanzisha mazungumzo ya jumbe ambazo zinalenga kusexchat bila kuzua mukshili ni kwa kutafsiri majibu yake kwa njia ambayo itadokeza kuwa anajaribu kukutongoza. Wewe unapaswa kufasiri yale anayokuambia kuonekana kwamba anajaribu kukutongoza. Yeye ndie anayezua mada ya kuonyesha kuwa analeta hisia za mahaba katika mazungumzo ya kawaida. Kufanya hivi kunaleta tenshen ya mapenzi katika mazungumzo yenu huku mkifanya kuwa ni mchezo au mzaha. Kufanya hivi kunajenga nguzo muhimu ambayo itafikia mahali flani kusexchat itakuwa hakuwezi kukwepa.

Kwa mfano, kama mwanamke atakuomba mkutane ili mkajiburudishe na vinywaji, unaweza kuleta ucheshi kwa kumwambia kuwa unaijua njama ambayo anataka kukufanyia ya kutaka ulewe ili akutumie vibaya. Njia hii ya ucheshi wa maneno huwa inaenda vizuri na pia hujenga vizingiti muhimu vya kumfanya mwanamke kuwa wazi kueleza hisia zake za kimapenzi.

#2 Matumizi ya kujenga tenshen. Ok najua kuna watu wanaweza kushangazwa kuona tukifundisha jinsi ya kusexchat mwanamke. Najua wengine wetu wangeuliza, “Si kusexchat inapaswa kuja automatically? Well, itategemea na mbinu ambazo unazitumia kusexchat. Hii mbinu ya fasiri-hasi (kujeuza maneno anayokwambia kumaanisha kivingine) ni njia nzuri, rahisi, na ya moja kwa moja ambayo wanaume wengi hutumia kutext mwanamke. Mwanzo ni mbinu nzuri ambayo huleta mazungumzo ya uliza-nikujibu na ambayo huleta cheshi katika kuvuta hisia za mapenzi.


Mbinu nyingine nzuri ambayo unaweza kutumia kupenyeza sexchat katika mazungumzo yako ni kwa kutumia maneno ya “tufanye”. Kama atakutumia jumbe kama, “Nataka kwenda kuoga sahizi” wewe utamjibu, “Naja tuoge pamoja” Akijibu, “nakungojea”  wewe mwambie, “Ok nafika sahizi. Lakini nataka uhakikisho wako kuwa hatutafanya mapenzi...coz siko tayari sahizi :)” Mbinu kama hii inakufanya wewe ujitokeze kama kiumbe cha mapenzi bila kuonekana kama tishio kwake.

#3 Kuwa thibiti. Kama unataka kujifunza jinsi ya kusexchat mwanamke lazima ujue jinsi ya kujenga tenshen ya mapenzi kiucheshi. Ijapokuwa kutongoza mwanamke katika chat ni kitu bora, kuna hatua flani katika mazungumzo yako unapaswa uwe thibiti na kuonyesha matamanio yako kama mwanaume.

Wakati wake ukifika – na utajua wakati kama huo umefika – unaweza na unapaswa kumwambia kile ambacho unafikiria, unahisi, na kutaka. Kufanya hivi kunaweza kuwa jambo gumu kwa wanaume wengi, lakini ni jambo la lazima kufanya. La sivyo unaweza usione mabadiliko yoyote katika mazungumzo yako na wanawake.

Kwa kukusaidia kuchukua hatua kama hii hatari, lazima kwa akili yako uweke kuwa kila mtu hufanya makosa wakati mmoja au mwingine. Unaweza kusema jambo flani halafu halikuenda sawa kama ulivyotarajia. So lazima utarajie chochote kutoka kwa mwanamke wakati utaamua kueleza hisia zako kwake.

Halafu kumbuka kuwa kila hatua hatari unayoichukua kwa mwanamke, ni bora zaidi kwa kuwa itakuwa inajenga vile ambavyo  utawasiana naye mbeleni. Pia huwezi kujua kama hio text utakayomtumia ndio itakayomfanya asisimke na kutaka zaidi kutoka kwako.

#4. Share ndoto zako. Je wataka mwanamke afunguke aanze kukueleza ndoto zake za ubunifu za mapenzi? Wataka akueleze kila kitu ambacho ashawahi kufikiria ukiufanyia mwili wake? Kumfanya afunguke lazima kwanza umuandae katika hali ambayo atajihisi huru na salama kufanya hivyo. Na njia nzuri ya kufanya hivyo ni kwako wewe kufunguka na kumwambia ndoto zako na ubunifu wako – hivyo kumfanya naye pia kufuata mkondo wako.

Pindi mazungumzo yenu yameanza kufuata hatua za mapenzi basi unapaswa kuanza kugawa mawazo yako machafu umbayo unayo kumhusu. Tumia maneno ya kueleza kwa upana. Nenda polepole, achilia tenshen ijijenge hatua kwa hatua na usiingiwe na aibu ya kueleza chochote (yale mawazo na hisia unayoyafikiria kwa akili yako unapomvua shati lake kimtindo, vile unavyomwona akireact, sehemu ya mwili wake inayokusisimua, na kila kitu ambacho unawazia unaufanyia mwili wake...) 

#5 Je kama hataki kufuata mawimbi yangu? Usitie shaka hapa. Kama tulivyotangulia kusema awali ni kuwa kuna wakati mwanamke anaweza hapendi kile ambacho unamwambia na anaweza hata kukasirika. Kama jambo hili litatokea usiogope. Kujinasua katika hatua mbaya kama hii ni rahisi sana.

Kama hakupenda njia uliyoifuata unapaswa ukubali hisia zake halafu uendelee. Usianze kuingiwa na uoga wa kuwa hataongea na wewe tena ama kuona umeharibu bahati yako.

Kama umemwona amekasirika unaweza kumwambia, “Samahani kama nilichokwambia kimekuudhi, ni vile tu umenisisimua kwa hili jambo.” Huwezijua – labda kumwambia maneno kama haya ndio yanaweza kuiamsha hamu yake kwako. Kama sivyo, basi unaweza kubadilisha mada na kuendelea mazungumzo mengine. Usikubali makosa uliyoyafanya kukuzuia kuendelea mbele. Ukiwa mkweli, mwenye utu na heshima huwa kuna faida yake mwishoni.

#6 Akili ya kusexchat. Wanaume wengi huwa wanasitasita ikija katika maswala ya kusexchat. Huwa wanaogopa kueleza hisia zao za kimapenzi. Kukwepa zimwi kama hili kukuandama, ni muhimu kuiweka akili yako katika hali ya kuwa imejiandaa kusexchat. 

Pili ni lazima uweke wazi kwa fikra yako mambo unayotamania kutoka kwa huyu mwanamke. Matamanio haya yote lazima yajitokeze kwa texts zako. Kama mwanamke anakupenda atataka kuona ile sehemu yako ya ndani. Badala ya kuchukua muda wako mwingi kufikiria kile ambacho unahisi anataka husikia, wewe mweleze vile unahisi na mambo ambayo unaona yanakusisimua kutoka kwake. Miliki hisia zako na wala usione haja ya kuomba msamaha kwa kuwa unamwona anavutia kimapenzi.

Mambo haya mawili kwa fikra ya mwanamke yatamfanya ahisi kuwa unamheshimu na pia kumsisimua, na itakuwa njia ya haraka kumfanya aanze tusexchat na wewe.

No comments:

Powered by Blogger.