Mambo 10 ambayo kila Mwanaume huyapenda Kitandani
Wanaume wengi huwa na utabiri wa kupata mambo mazuri kutoka kwa wenzi wao wakiwa vitandani mwao, ni mara chache tu au ni wachache ambao huwa na fikira tofauti. wanachotaka ni tendo la ndoa katika maisha yao ambacho ni sehemu ndogo tu katika mambo mengi yanayotakiwa kufanywa.
Chumba cha kulala mume na mke sio mahali patakatifu, sio kanisani,sio vizuri kwa watu wawili kuogopana. na hapa kuna vitu hawa jamaa huvipenda.
1.Kukuona Unavyotathmini.
Wanawake hupenda kufanya mwendelezo, na kama huwezi wao wanaweza , lakini wanakuwa hawajui jinsi ulivyo na hamu. haijalishi unafurahiaje joto kama huoni match inakuwa imeshaanza.
2.Wanapenda Kuona Umevaa nguo Husika.
Wengi huvutiwa na nguo hizo, ingawa zitavuliwa na kutupwa chini, zinakuwa hazina faida baada ya muda. tunalifahamu hilo na bado wanawake hupenda kuzivaa.
3.Foreplay.
Usipumbazike na wanaume wa kwenye T.v, movies, wanaovamia na kuonekana wako tayari mudawote, ukweli ni kwamba tunapenda kujengwa taratibu na kusogezwa karibu, kwa njia ya kukumbatiana na kubusiana na kushikana shikana , tunapenda. na sex nzuri ni ile ya wote kuridhiana.
4. Vitendo.
Haiwezekani wana ndoa kuwa na tabia kama vile si wamoja. kuacha sehemu moja tu kujishughulisha, mwingine asubiri tu kumezwa sio vizuri, kwa hio usiogope badilisha mambo, Sex bila penetration, au sehemu nyingine kama sebuleni au bafuni vyote hivyo vinafanyika kwa hila.
Lakini uwe na uhakika wa usalama na usafi sehemu hio ya tukio.na iwe ni sehemu nzuri sio ya kuumiza.
5.Dirt talk.
Katika mambo wapendayo kuongea kitandani ,ni kuongea maneno ya uchafu wa kitandani mkiwa wawili, kutaja sehemu za mwili ambazo huwezi kuzitaja hadharani.
6.Kusikia Jina Lake.
Hakuna kitu kizuri apendacho kama kusikia jina lake, tumia hio hila kwa faida yako.
7 .Usalama.
Iwe mko kwenye mahusiano ya muda mrefu, au unatumia vidonde, na inawezekana wote mmepima, iweje condomu iwe ni swali, tabia mbaya. sisi ni wamoja, lakini vipi kama kuna mmoja anatoka nje ya mahusiano? au tunasahau.
Tunatakiwa kuaminiana na tuwe salama wote.
8.Mchezo, Wa Tabia Yeyote.
Hupendelea position mpya kila mara, tunajua mnapenda, basi kuweni wawazi kwa wenzi wenu, ili kujaribu, na ataweza tu ili kukufurahisha wewe.
9.Hupenda Kuchekeshwa.
Vitu vinapokuwa vimeenda vibaya huko kazini, au sehemu nyingine kwenye biashara, huwa na mawazo mengi, anahitaji kupata mtu wa kumchekesha ili asahau ya biasharani. Uwezo wa kucheka kwa pamoja unaleta tofauti .
10.Kukufanya Wewe Uwe Exitement.
Sio kwa ajili yetu, tunajua hilo. kwa hio, tuambie unachohitaji, tuna maana ya tahadhari , ili ujisikie vizuri.
kama umependa makala hii , shirikisha na rafiki zako.
No comments: