Tizi ni Aina tatu (3) za Usaliti unaoharibu Mahusiano Yako
Usaliti ni usaliti tu si ndio? Namaanisha , kama umechukua jukumu la kuwa na mtu mmoja na halafu unavunja wewe ni msaliti. Na hicho ulichofanya na nani uliefanya nae, na ulijisikiaje ulipokuwa ukifanya hivyo haikuwa tatizo?
Vizuri, ndio na hapana.
Kuna categories 3 za uzinzi na usaliti wa mtu wako unaweza au usiweze kuleta maumivu yanayotokana na aina ya usaliti.
Inachanganya.? Kama ni hivyo soma hii.
1.Majaribio.
Kujaribu ni kufanya kweli, unasema unajaribu kusaliti ndio umefanya kweli bila ya hisia kuwepo. Huko ndio kutaka kujua tofauti ya kule na huku, hupati kitu chochote na unarudi nyumbani. Kwa kawaida wasaliti hasa wale waliobobea , huwa hata hawaoni kama wanasaliti, wao huona kawaida tu kwa sababu hakuna connection yeyote iliopo pale.
Katika akili zao huona wanachofanya hakiharibu mahusiano yao ya kudumu, hufanya kwa ajili ya relaxation, fun au kuondoa stress.
2.Inatokea mara kwa mara kupokea wito.
Wasaliti wengine wana watu wao parmanent au wanao wengi, wale wanaowaona mara chache na ni pale tu wanapokuta ghafla. Huenda ikawa kwenye sherehe au kwenye dinner na mara huenda kufanya ngono. Hawa walio nao hufanana tabia lakini hawana mapenzi , kwa maneno mengine ni marafiki na wazuri kwa sex lakini hawana connection hata kidogo ya mapenzi yenye hisia.
Ndio, mahusiano haya huendelea lakini ni ya kawaida, huwa yapo kwenye ngono zaidi kuliko kitu kingine. Ukaribu mara zote, marafiki hawa wote huwa wanajilinda kwa sababu wote wana ndoa zao au wapenzi wao . wa muda mrefu.
3.Mambo yanayoshikamana kihisia.
Lakini vitu hizi vikienda kwa muda mrefu zaidi, italeta hisia za ndani na kuanza kupendana, itakuwa vigumu kuacha kuonana na kuwa pamoja, watu hawa wataanza kufanya vitu kwa pamoja, wanakuwa watu wazuri kwa wengine na kutengeneza marafiki kila waendako, watakuwa hawana woga tena kwa sababu wote wanakuwa na jukumu la kuwa pamoja katika mahusiano.
Hivi kuna msaliti mbaya zaidi kuliko mwingine?
Usaliti wa aina yoyote unaumiza, hasa mtu akijua kuwa wanafanya tendo la ndoa na mtu mwingine , hapo ndio kabisa maumivu makali. Kwa sababu alikuwa muongo na alificha siri kwa muda mrefu wakati akiaminiwa
1..Nani unafanya nae usaliti.
Unaweza kuwa unalala na rafiki wa mkeo, ni usaliti mkubwa zaidi, ni bora hata ungelala na adui mwingine kabisa nisiemjua. Kama unatoka na mtu ambae mkeo anajua hilo ni tatizo kubwa mara mbili. Na kama huyo mtu alikuwa anaaminiwa usaliti unakuwa mara mbili zaidi tena. Kila layer ya muungano unaongeza maumivu kwa mwenza wako.
2.Kwa nini msaliti hawezi kujificha.
Kama unamcheat mwenza wako halafu ukagundulika na magonjwa ya zinaa, kwa sababu ni wewe mtu wa kufanya nae sex hakuna mwingine, na hilo wewe unalijua, halafu unaanza kumwambia , Mpenzi samahani sana , kwa kuwa nilipokuwa safari mwezi uliopita nililala na mwanamke mmoja nlikutana nae hotelini, na nilihisi kitu kibaya baada ya hapo.na siwezi kutunza hii siri kwako.
3.Ilichukua Muda Gani.
Kama kweli umecheat mara moja , na umekuwa mkweli , mwenza wako anaweza kukusamehe hilo.lakini kama umekuwa ukimsaliti kwa muda wa mwaka na umekuwa ukiongopa na kutunza siri kuhusiana na tabia yako kwa muda huo wote, mwenza wako kukuamini na kuamini tena mahusiano yenu ni ngumu .
4.Hatua Za Muunganiko Wa Hisia.
Kwa kuongea ukweli , pindi hisia zinapokutana, mambo haya huleta maumivu makali kwa huyo uliemsaliti kuliko hata ya usiku mmoja, hii ni kwa sababu wakati mambo haya ya usaliti yanafanyika , vitu vingi vilitokea katika mahusiano yao .
Mwenza anapogundua kuwa umekuwa ukilala na mtu mwingine kwa muda huo wote atashangaa, maana muda wote ule amekuwa akimwambia anampenda na anawapenda watoto wao na maisha yao pamoja kumbe hakuwa anamaanisha. Yote ilikuwa ni uongo.
Kwa hio kama unavyoona kuna factors nyingi sana zinazoweza kufanya sex iwe kama ni uzinzi Mbaya. Ndio hivyo tunasema usaliti wa aina yoyote unaumiza. Na sio kusema tu kwamba aina ya sex ndio inaudhi, bali ni kudanganya na kutunza siri kwa muda huo wote .
Katika kuponya maumivu haya , watu waache kujaribu kutafuta tofauti, hakuna cha tofauti , acha kucheat, uwe mwaminifu kwa mwenza wako.
shirikisha makala hii familia na marafiki.
No comments: