Vitu 12 ambavyo wanaume wengi sana huvifanya kitandani ambavyo huwafanya wanawake kuigiza wameridhika!.
Je huwa unafanya mambo fulani kitandani ambayo humkatisha hamu ya mapenzi? Haya ni mambo 12 ambayo wanaume wengi huyafanya na kuwafanya wanawake wajifanye kama wameridhika badala ya kuridhika kweli(wana feki)!
Takwimu tofauti zinaonesha, na ni jambo ambalo hufaamika kwamba sio wanawake wote huwaga wanafika kileleni kila wakati wanapofanyamapenzi!
Lakini pia, wanaume wengi hupenda kuigiza na kujifanya kwamba wao ni wataalam sana wa mapenzi!
Na wanaume wa haina hii, hujisifia kwamba wao ni wazuri kiasi gani kitandani, na kwamba hakuna mwanamke yeyote ambaye alishalala nae ambaye hajamfikisha kileleni!.
Sasa, najua hii inakushangaza kidogo. Si ndiyo?
Kama kila mwanamke hugushi kuridhika kimapenzi, hawa wanaume siyo waongo?, au wanawake hawa ni wataalamu sana wa kufeki hayo mambo?!.
Kwa nini wanawake wengi huigiza katika hili?
Lakini mara nyingi haya siyo makosa yao!.
Mara nyingi siyo makosa yao na haya ni makosa ya wanaume - ukurupukaji wa wanaume!.
Mwanaume anaweza kuwa mbinafsi, na anachokijali ni yeye mwenyewe kuridhika na kusahau kuwa mwanamke naye anahaki ya kuridhika na kufurahia tendo na hivyo anashindwa ku focus na anaishia katikati.
Tunapokuja katika suala la mapenzi au kufanya mapenzi, wanawake huwa na safari ndefu sana ya kufika kileleni tofauti na wanaume.
Kwa hiyo kama kweli unataka kumridhisha mwanamke kitandani, usiogope na pia usiwe na wasiwasi kwamba hautamfikisha kileleni, wala usikamie kumfikisha kileleni. Unachotakiwa ni kujali tu wewe na yeye muwe na good time kitandani - wote mfurahie tendo. Elewa kwamba, hiyo idea itakufanya ufanye maajabu katika mapenzi ambayo haukuwahi kuyafanya hapo awali.
Na baada ya hapo, utaweza kumfikisha kila mwanamke unayekuwa naye kitandani kiurahisi kama vile mto unavyotiririka katika mkondo wake!.
Mambo 12 wanaume hukosea kitandani na kuwafanye wanawake kuigiza kuwa wameridhika - kimapenzi!
Hizi ni sababu za kwanini wanawake huamua kuigiza wameridhika kitandani, badala ya kweli kuridhika. Wakati mwingine, kwa kweli siyo makosa ya mwanaume. Lakini mwishowe licha ya hayo yote, bado makosa yanaonekana ni yake - mwanaume!
#1 Haupo vizuri katika ForePlay. Mwanaume anaweza huchukua sekunde chache kumvua mwanamke nguo zake za ndani. Lakini mwanamke ni kama chungu cha kupikia, huchukua muda kushika moto, lakini baada ya kupata moto, hutumia muda tena kupoteza joto lake hatakama moto umezimika. Kama hautaweza kumchezea viungo vyake vya mwili vizuri na kwa ustadi, hataweza kufurahia tendo na hivyo hutaweza kumfikisha kileleni.
#2 Haujui anataka nini kitandani. Hili ni tatizo la wanaume wengi. Wengi hufikiri hujua kila kitu kinachouhusu mwili wa mwanamke, na kila kitu kinacho msisimue mwanamke kwa haraka. Lakini ukweli ni kwamba, kila mwanamke ana angle yake na kila mwanamke anamatarajio yake kitandani. Tumia muda kumsoma, angalia muitikio wake unapokuwa umamchezea sehemu zake za mwili, na jifunze ni wapi panamsisimue zaidi. Usiwe na kimbelembele kwamba wewe ni mzoefu na ya kuwa unajua kitu kinachoweza kumsisimua kwa haraka - utaharibu brother!.
#3 Poteza ufahamu. Unapokuwa kitandani na mwanamke - inabidi ufahamu wako wa kawaida uuache nje. Usipofanya hivyo, mwanamke wako kwasababu anajua unampenda sana, na yeye anakupenda sana, hatakama hajaridhika, atajaribu kuigiza kuwa karidhika ili akufanye wewe ujisikie vizuri au kidume * wakati kimoyomoyo anatamani mwanaume ambaye agekuwa ana mfikisha kileleni badala ya kuigiza vile*.
#4 Unajilaumu. Kwa baadhi ya wanaume, huwa wanaangalia na kuzingatia kama kumfikisha mwanamke kileleni kama ni ushindi mkubwa - ni kweli. Na hii inawafanya wao kila baada ya game kuwauliza wanawake zao - umeridhika baby? Akikataa - unajilaumu kwa kuwa mbovu kitandani, kwa picha hiyo - wakati unaofuata huyo mwanamke lazima aigize kuwa karidhika ili ufurahi na uache kujilaumu.
#5 Unamlalamikia. Ulishawahi kumlalamikia mwanamke wako au mke wako kwamba hashughuliki vizuri wakati mnapokua kitandani? Je ulishawahi kumfokea kwa hasira na kumwambia maneno kama *kwanini haushughuliki? na kwanini husemi kama nakuridhisha kitandani?*!!!". Hapo next time lazima awe feki babu!.
#6 Unakasirishwa mapema. Unaweza usimwambie kwamba umekasirika, lakini sura yako tu itamwambia kwamba haukufurahia kwa sababu yeye hajafika kileleni. Na kila wakati unavoonekana umekasirika, unamfanya naye ajisikie vibaya, kitu ambacho kitamfanye aigize kuwa anajisikia vizuri wakati hata chembe mawazo yake hayapo huko kabisa.
#7 Kuropoka. Kuna wakati unajikuta umeropoka neno ambalo halifai na hivyo linamfanya ashtuke na kupoteza mood kabisa wakati mpo katikati ya mapenzi. Na kwa maana hiyo, anajiona kama si kitu, au kituko na kukasirishwa nacho!
#8 Unamfanya ajisikie/ ajione yeye mbaya. Hili ni jambo ambalo wanawake wengi hawapendi kulijua/ kulitambua. Siku zote. Na ni ukweli ambaohautakiwi umwambie. Je unamfanya ajisikie yeye ni mbaya, aidha kwa kumtukana au kumuambia jinsi yeye alivyo mnene, au kumuangalia usoni kwa lisura libaya - ya kukasirishwa wakati amevua nguo zote? Kama utamfanya mwanamke ajione mbaya, kuna uwezekano mkubwa kuwa hatajisikia vizuri hivyo mawazo yake yote hayatakuwa katika mapenzi , yatakuwa yanawaza ulimchukuliaje ulivyomvua nguo. Hivyo kila kitu ata fake maana ulishamtoa kwenye mood!.
#9 Bwana mkubwa ni MKUBWA HASWA(Mashine). Ndiyo, kuna wakati unakua unajisifu kuwa mashine yako ni kubwa sana hivyo unajua kila mwanamke utamridhisha. Lakini bahati mbaya unakuta mwanamke wako - baby wake ni mdogo, hivyo inampa wakati mgumu wakati bwana MKUBWA anapenyeza pale, hivyo kwa sababu anasikia maumivu , atakua anajifanya anajisikia vizuri wakati wa kulia huku anaugulia maumivu. Ukijua wewe uko hivyo usifanye fujo bwana boss - kuwa mpole na mwendeshe taratibu.
#10 Unachelewa kumaliza mechi - Na hivyo anajaribu kukuharakisha umalize. Kama mwanamke wako anaona unahangaika, au unatoka jasho, au unajitahidi sana usije kkufika kileleni kabla yake, na yeye akiwa anajua hatafika kileleni mapema, lazima aigize ili akufanye wewe ujione mwanaume ya kwamba umemaliza mechi salama na mmemaliza wote.
#11 Ana aibika. Hili ni jambo ambalo lazima likukumbe katika mahusiano mapya. Kama mwanamke unaye date naye anajua kwamba inamchukuaga muda mrefu kufika kileleni , ili wewe usimuone kuwa ni mzigo huwa anaigiza ili usijisikie vibaya au usimuoe ana mapungufu - hivyo anataka umuone yeye ni kama wasichana wengine ambao wanafika kileleni!.
#12 Unatumia Pressure kubwa sana. Kama ulishawahi kujitapa kwake kwamba wewe ni fundi. Na yeye akajijenga kifikra kwamba mkilala wote lazima ataridhika na utamfikisha kileleni haraka iwezekanavyo. Mnapokuwa katika shighuli, inatokea tofauti japo anajitahidi kuwaza kuwa anafika kileleni - lakini bado mabo yanakuwa magumu, hapo atachoka na kuigiza kuwa kafika kileleni kwa sababu umeshamkatisha tamaa ya alichokuwa akifikiria mwanzo.
No comments: