Nakaribia Kuoa, Naomba ushauri kwa walio kwenye ndoa: Wewe Unafanyaje ili usitembee nje ya ndoa?
Direct to the point:
Nimekuwa katika mahusiano ya kimapenz na wanawake wengi sana kabla ya kuamua officially kuchagua mmoja wa maisha yangu. Hivi sasa naishi na mchumba wangu mwezi wa pili sasa. Mpaka sasa nimeshamtolea mahari na tupo katika process ya kufunga ndoa takatifu.
Ila kuna jambo moja bado linanisumbua kichwa. Najiuliza hivi kweli nitaweza ishi the rest of my life huku ninakula "K" ya mke wangu tu bila kuchepuka?????????
Yan nimekaa naye miez miwili bila kuchepuka na nimekwepa vishawishi vingi hasa kutoka kwa ma ex wangu ambao nimejitahid sana kuwakwepa.
Pia Mimi ni m2 wa safari mara kwa mara na ninajijua navyokuwa safarini ndiko huwa nakutana na vishawishi vingi sana hasa pale napokuwa nafikia katika nyumba za kulala wageni zilzopo karbu na vwanja vya starehe.
Hiv navyoongea jana nimetoka safar lakini nilimkula mdada ( mwanafunzi ) ambye tulkuwa kwenye siti moja baada ya bus kuzuiwa na ikatubidi tulale morogoro.
Sasa hiv roho inaniuma nmemchit mchumba wangu wakat ndyo miez miwili tumeanza kukaa pamoja. Sasa hiyo miaka iliyobaki nitaweza kweli?
Kusema ukweli kwa mchumba wangu hakuna nachokosa. Ni mzur kiasi kuwa hata wanaume wengne wanapomuona huniuliza kama usiku naweza kupita bila kumdonoa. Au naanzaje kupata usingizi kulala na mtoto mzur kma uyo. Ila mm kwangu naona kwaida na bado natamani vya nje.
Pia zile siku anazokuwa yupo MP..5-7 days napataga tabu sana hadi nashindwa kuvumilia nabid nmle ivyo ivyo. Maana nsipofanya ivyo nakuwa nataman kuchepka.
Kwa wale mliopo kwenye ndoa nishaurini jamani. Huwa mnafanyaje mpaka mnakaa na wake zenu bila kuwacheat. Mimi hii tabia siipend kuwa nayo, napenda nitulie katika ndoa yangu. Nimheshimu mke wangu kama anavyo niheshimu mimi. Maana najua what goes around comes around. Sasa mi naogopa nisijefanyiwa ivyo pia.
Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome
from Tujifunze Mapenzi https://ift.tt/2B7KDOr
via
No comments: