Ungekuwa Milionea bado ungeoa mwanamke huyu? Au ungekuwa Mrembo/Una pesa ungeolewa na Mwanaume huyu?
Kuna wanaume wameoa wanawake walio nao sasa sababu hawakuwa na uwezo wa kuwapata wale waliowataka.hawakuwa na mkwanja.wakaona ili wasicheze Pool miaka yote basi waoe angalau hata wa kupunguzia ugwadu.
Mwanaume kama huyu akizikamata sasa. Ndo anakuwa kijogoo.anawachapa sana warembo na kuanza kumwona mke wake kigwasu. Atatembeza mti kwa watoto wote anao waona mtaani,ataenda bongo movie atawachapa nao,ataenda kwa waimbaji atarudi mitaa mbalimbali n.k
Wapo matajiri wengi ambao baadaye walikuja tafuta wake wengine baada ya kuona wale wa mwanzo hawana mvuto.sometme wanagundua hata shule zao zinagomba.
Hata wanawake.wapo ambao wanavumilia tu kuchapwa nao sababu hamna namna.mtoto mrembo lakini hana pesa.jamaa sura mbaya lakini ana mkwanja.demu anachapwa na mti hivyo hivyo tu mwisho wa siku naye awe ana drive na ku selfie mitaa ya kati au ya mbali akibembea kwenye maisha.kiroho ngumu tu.msiwaone wanawake hivi wanavumilia mengi.
Dada mmoja anasema analazimika kufake orgasm mwaka wa 8 huu. Lijamaa halina mvuto kabisa.sema tu hana jinsi.so sometime naye anachepuka na kabwana mdogo flani kanamchapa nao basi anajisikia afadhali.
Mwanaisha analalamika tu kuwa ni vile hana uzuri wowote.ila lijamaa lake analivumilia sana.lina bonge la mashine so linamuumiza tu na hana feelings.but hawez kataa sababu naye hana mvuto kivile na anahitaji kuishi na mwanaume maana hana kazi hajiwezi kiuchumi.
Nmewaza sana.je wanaume wangapi ambao wakizinyaka halafu wakaambiaa waoe tena watarudia wake zao?
Je wanawake wangap ambao nao wakizinyaka watataka waendelee kuwa na waume zao au wakiposwa tena watakubali?
Je ni wanawake wangapi ambao wangekuwa warembo wangeolewa tena na waume zao walio nao sasa?
Hatari sana hii sheikh. Asikwambie mtu.ndoa nyingi zitavunjika.
Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome
from Tujifunze Mapenzi https://ift.tt/2RNXGvB
via
No comments: