Wanawake wa Darasa la Saba Mpaka Diploma Wanaheshimu Zaidi Ndoa Zao

TAFITI IMEFANYIKA COLORADO KUHUSU NDOA AFRICA (WANAWAKE WA DARASA LA SABA MPAKA DIPLOMA WANAHESHIMU SANA NDOA)

Wanaume walio oa wanawake wenye elimu ndogo wanapata raha na furaha kwa ndoa zao

Inasemekana ukimuoa mwanamke wa elimu ya chini we ndo unakuwa mwalimu wake, hasa kama ukikapata ka darasa la Saba unakaandaa vema kwa matumizi ya baadae,

1995 hadi 2016 kumewepo na mkumbo wa watu kukutana vyuoni na kuona,

Ila matokeo yake

1. Dharau kupandishiana sauti mbele ya watoto, wageni, na hata mbele ya wazazi kisa mko sawa kielimu na kipato,

2. Majukumu ya family yanakwepwa kiaina kusingizia kuchelewa ofisini,

3. Safari za mabosi na Mke wako kuhusu semina na vikao, mwanaume ndo anaanza majukumu, au house girl

4. Challenge za hapa na pale kuhusu ndoa na muda wa kuwa na ukaribu na familia haupo tena,

5. Inasemekana hata watoto wanaanza kukosa uangalizi, wa karibu,

Lakini ukimuona mtu anapata haya.chini jua kaoa mwanamke wa elimu ya chini kidogo yake

1.Kumsikiliza mme analosema
2. Kuwaheshimu kila watu ambao anahis ndo wanasababisha mme wake aendelee kuwa kazin,
3. Hanyanyui kinywa mbele ya wazazi au watoto Kumkosoa mme live,
4. Anayewajibika nyumbani na kutimiza Majukum ya nyumbani,
5. Usafi wa mme nyumba na watoto,
6. Kudimisha uhusiano na majirani na wanawake wa vyama mbali mbali maana muda anao,

Kuna askofu mmoja Aliwahi nambia hivi

"Wasomi wengi mizigo huu ndo ukweli ambao ni mgumu kuusikia..wachache sana wamesoma na bado wana akili nzuri za kudumisha mahusiano we kama hutaki usumbufu,vurugu,kupandishiwa sauti mbele ya watoto wako ..oa mwenye elimu ya kawaida...ila kama unaa bahati unaweza kupata msomi anaejielewa na hapo ni bahati nasibu tu......sio kwa uwezo wako bali zali tu linakudondokea"

Akaendelea kusema hivi umuusishe MUNGU wakati nawe unachagua, wengi ambao wameshakosea kuchagua ukimbilia MKE MWEMA ULETWA NA MUNGU,

ILA KWA TAFITI ZA HARAKA FAMILIA ZENYE FURAHA WANAWAKE WANA ELIMU ZA KAWAIDA SANA. 


Chunguza hata marafiki, ndugu na jamii inayokuzunguka utakubali


No comments:

Powered by Blogger.