ukisikia Baby Mama Drama Bwahahahha

poor Girl kajitahidi kabakana na mkaka kama si mbaba mume wa mtu akajitwalia kiumbe chake….utamu waja mkaka /mbaba karejea zizini sasa unapoanza mtesa mwenzio we mshamalizana ye anataka ona mtoto bi shost unahangaika uwepo kwa picha haya ndo hutokea……hahahahhaha
….hv ushawahi kuwaza wamtesa mtoto na kumpunguzia mahaba na babae acheni USELFISH AISEEE…….lol raha zaidi ya picha basi inayotumwaaaaa katoto kadogoooooo mdada unatawala hajulikani nani photobomber WEYE AU MTOTO
WIZI WA MUME WA MTU UNA EXPIRE DATE lea mwana jitahidi baba ajali mtoto upate hata thwawabu
No comments: