Kwanini mwanamke ukishamtumia kwa mara ya kwanza siku nyingine hasumbui tena
Mara nyingi unapomtongoza mwanamke na kisha akakukubalia ombi lako bado ataendelea kukuzungusha katika suala zima la kukupa papuchi.Muda wa kukuzungusha hutofautiana kati ya mwanamke mmoja na mwingine.
Haijalishi amekusumbua kiasi gani mpaka yeye kuamua kukutana na wewe kimwili.Mkishakutana kwa mara ya kwanza siku nyingine hasumbui tena na kila ukimpigia simu kumuomba mkutane tena kimwili haraka sana anakuja na kukutimizia haja zako tofauti na awali ambapo unaweza mpigia simu leo kumuomba papuchi lakini akakupiga kalenda hata mwezi na kitu mpaka kuja kukuletea yale mambo yetu.
Nimekua nikijiuliza kwanini hawa viumbe wanakua hivi bila ya kupata majibu stahiki.
Na akishakupa mara moja basi mtu mzima utapokea dozi mpaka uombe poo.
Karibuni tuweze kupeana mawazo wadau.
No comments: